Learn about UNEP's role at the 77th session of the UN General Assembly
Read about joining efforts for ocean conservation and climate mitigation ahead of COP27
Keep up with our Restoration Road Trip across Canada and the United States
Marekani na Kanada zinakabiliwa na changamoto kwa mazingira zinazoendelea kuongezeka—hii ni pamoja na mabadiliko ya tabia nchi, uchafu baharini mifumo ya uzalishaji na matumizi isiyo endelevu.
Jifahamishe zaidi kutuhusu na jinsi tunavyofanya kazi
Afisi ya Amerika Kaskazini
United Nations Environment
900 17th Street, NW, Suite 506
Washington, D.C. 20006
Afisi ya New York ya Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa imejitolea kama nguzo muhimu cha kuunganisha, na ina ujuzi wa kuanzisha na kudumisha mahusiano na Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Taasisi zenye makao makuu New York, ujumbe wa Kudumu kwa Umoja wa Mataifa, mashirika ya uraia, taasisi za elimu na zinginezo.