18 Sep 2019 Video Usafiri

Kijana Bingwa Duniani mwaka wa 2019: Sonika Manandhar

Mshindi wa Tuzo la Vijana Bingwa Duniani wa eneo la Asia na Pasifiki, Sonika Manadhar alianzisha jukwaa la Green Energy Mobility (GEM) katika nchi yake ya Nepal.