Tokeo la 1 hadi la 10
Idadi ya matokeo: 75
Nairobi, Septemba 19, 2022 – asilimia 78 ya wakazi barani Afrika husafiri kwa miguu na kutumia baiskeli kila siku, ila hali ngumu, hatari na zisizofaa huchangia kuongezeka kwa kasi kwa idadi ya magari katika miji…
Tunahitaji utambuzi wa kimkakati wa mchanga na kuchukua hatua katika sekta zote zinazohitajika, ripoti yahimiza Geneva, Uswisi, Aprili 26, 2022 – Tani bilioni 50: zatosha kujenga ukuta wenye upana wa mita 27 na…
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) lilitangaza leo kuwa Hababi David Attenborough ndiye mshindi wa Tuzo la Mabingwa wa Dunia la Mafanikio ya Kudumu kutokana na juhudi zake za utafiti, uandaji wa…
Tuzo la Mabingwa wa Dunia hutuza watu binafsi, makundi na mashirika ambayo huchukua hatua za kusababisha mabadiliko chanya kwa mazingira. Mwaka huuupendekezaji wa watu binafsi na mashirika ambayo yamesaidia kuzuia…
Hata eneo la Akitiki, ambalo hapo awali halikushuhudia hali hii, limo hatarini kukumbwa na mioto mibaya zaidi, wataalam wanasema, kabla ya Mkutano wa Baraza la Mazingira mjini Nairobi. Mioto misituni na mabadiliko…
Nairobi, Februari 17 2022 - Mioto misituni inatokea mara kwa mara na inaendelea kuwa mikali zaidi, uchafuzi wa kelele mijini unaendelea kuwa kero na kuathiri afya ya umma, na kusababisha kutoingiliana kifenelojia…
Zana mpya za walimu mtandaoni zisizolipishwa na mpangilio wa masomo kutokana na mafanikio ya Reset Earth, uhuishaji na mchezo wa video wa Sekretarieti ya Ozoni ya UNEP. Zinalenga Vijana kwa kutumia uhuishaji na apu…
Tuzo la Umoja wa Mataifa la ngazi ya juu zaidi mwaka huu linamtuza waziri mkuu, mwanasayansi, wanawake wa kiasili, na mjasiriamali kwa kusababisha mabadiliko chanya kwa mazingira. Mabingwa hawa wa Dunia huhamasisha…
Kaulimbiu ya Siku ya Mazingira Duniani katika mwaka wa 2022, ‘Dunia Moja Tu’, inaangazia kuishi kwa njia endelevu na mazingira. Mwaka wa 2022 unaashiria miaka 50 tangu kutokea kwa Kongamano la Stockholm…
Makadirio ya gharama za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi katika nchi zinazoendelea ni kubwa mara tano hadi kumi zaidi kuliko mtiririko wa sasa wa fedha za umma za kukabiliana na gesi chafu. Chini ya theluthi…
Showing 1 - 10 of 75