Tokeo la 1 hadi la 10
Idadi ya matokeo: 28
Miji, ambayo hukalia asilimia 3 tu ya ardhi Duniani, huchangia hadi asilimia 80 ya matumizi ya nishati na asilimia 75 ya uzalishaji wa gesi ya ukaa. Kufikia mwaka wa 2050, takribani asilimia 70 ya watu duniani…
Sayari inapoendelea kukakabiliwa na joto, hitaji la viyoyozi duniani litaongezeka, na kuzalisha gesi zaidi ya ukaa hali itakayojirudia vibaya. Lakini kuleta miti na maeneo ya kijani mijini mwetu ni suluhisho…
Uzalishaji wa jumla wa plastiki duniani unakadiriwa kufikia tani milioni 34,000 kati ya mwaka wa 1950 na mwaka wa 2050. Kemikali hatari zinazotolewa na bidhaa za plastiki katika kipindi chote zinapotumika zinaweza…
Nchi zimeahidi kuwa zitaboresha zaidi ya hekta bilioni moja ya ardhi iliyoharibiwa –eneo kubwa kuliko Uchina. Sasa ni wakati wa kushughulikia ahadi. Muongo wa UN wa Kuboresha Mifumo ya Ekolojia umezindua wito wa …
“Kukua kunakotegemea kuchimba kutoka kwa sayari – na watu wetu – kuna gharama yake,” asema Balozi wa Nia Njema wa UNEP, Don Cheadle, anaposimulia kuhusu historia kuhusu chanzo cha mabadiliko ya tabianchi na jinsi…
1. Sayari inayotegemea nishati isiyochafua mazingira| Mkataba wa Paris wa Mazingira Tunahitaji nishati kila siku tunayoishi, ila sayari yetu inaendelea kuwa na joto zaidi kwa sababu umeme wetu mwingi hutokana…
Askaripori wa Mt. Kenya Trust hufanya kazi bila kuchoka kulinda misitu na wanyamapori wa eneo hilo dhidi ya vitendo haramu kama vile ukataji wa miti na uwindaji haramu. Dhamira yao ni kuhifadhi ekolojia hii ya…
Tangu mwaka wa 1972, UNEP ni mhamasishaji mkubwa wa masuala ya mazingira duniani. UNEP huchochea, huhamasisha na kuelimisha ili kukuza uhusiano endelevu kati ya watu na sayari. Mwaka wa 2022 ni maadhimisho ya…
Kwa mjibu wa ripoti hiyo, kupunguza uzalishaji wa gesi ya ukaa kutapunguza athari na gharama zinazotokana na mabadiliko ya tabianchi. Kufikia lengo la nyuzijoto 2 kama inavyohitajika chini ya Mkataba wa Paris…
Tarehe 19 Novemba ni Siku ya Choo Duniani. . Kaulimbiu ya mwaka wa 2020 ni usafi endelevu na mabadiliko ya tabianchi. Siku ya Choo Duniani inasherehekea kuwepo kwa vyoo na inahamasisha kuhusu watu bilioni 4.2…
Showing 1 - 10 of 28