Tokeo la 1 hadi la 10
Idadi ya matokeo: 64
Zaidi ya miaka miwili iliyopita, Christophe Hodder alichaguliwa kama Mshauri wa kwanza wa Umoja wa Mataifa wa Usalama wa Hali ya Hewa na Mazingira nchini Somalia. Tangu wakati huo, alianzisha juhudi za kimataifa…
Wiki hii, viongozi duniani wamekusanyika mjini Lisbon, Ureno, kwa Kongamano la Bahari la Umoja wa Mataifa. Azimio la kisiasa linatarajiwa kutolewa. Kongamano hilo linatokea wakati wa kipindi kinachorejelewa na…
Wakati ambapo mkulima Mohamed Ibrahim Aden hashughulikii mashamba yake binafsi, mara nyingi unaweza kumpata akinyuzia miche maji kwenye bustani ndogo ya miche inayomilikiwa na jamii katika kijiji cha Gobweyn nchini…
Jua linapotua eneo la kati nchini Zambia, miale ya rangi ya machungwa inaakisi kwenye Kinamasi cha Lukanga, eneo kubwa la ardhi oevu lililo na upana wa kilomita mraba 2,600. Njia yenye maji mengi hupita kwenye…
Huenda ikawa ni tumbili wa jirani aliyeshuka chini kujiunga naye alipokuwa anajifunza piano, au klabu ya wanyamapori aliyoanzisha katika shule ya msingi mjini Kampala, Uganda. Lakini tangu akiwa mdogo sana, Dkt.…
Kila mwaka, kote ulimwenguni, tani bilioni 1.3 za chakula hupotea au kuharibika, kwa mjibu wa Kigezo cha Kupima Uharibifu wa Chakula cha Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP). Kigezo cha Kupimia Uharibifu…
Usidanganyike na muonekano wa kawaida: mikoko ni muhimu kukabiliana na changamoto sugu tunazokumbana nazo duniani kwa sasa. Hutunza ardhi na bahari, huteka kaboni, huchangia utoshelezaji wa uchumi na wa chakula, na…
Kwa miaka mingi ilionekana kama Ziwa Turkana, linaloptikana katika eneo kame Kaskazini mwa Kenya, lilikuwa linakauka. Mito mikuu inayolisambazia maji ilikuwa imeathiriwa na mabwawa na watu wengi waliogopa kuwa…
Utafiti uliozinduliwa na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) na kutolewa wiki iliyopita unaonyesha manufaa ya kiuchumi kwa kufufua chanzo kikuu cha mito katika mkoa wa Kwa Zulu-Natal nchini Afrika…
Siku ya Kimataifa ya Tropiki, ambayo huadhimishwa tarehe 29 mwezi wa Juni, inalenga kuhamasisha kuhusu changamoto za kipekee ambazo mataifa ya tropiki hukabiliana nazo kutokana na mabadiliko ya tabianchi, ukataji…
Showing 1 - 10 of 64